Monday, April 14, 2014

Jackline Wolper Na Mtunisy Wasubiriwa Kwa Udi Na Uvumba

Mtunisy
Mastaa wa filamu nchini Tanzania Nice Mohamed "Mtunis" na Jackline Wolper wanasubiriwa kwa hamu kubwa na filamu yao mpya ya Tomboy(Jike Dume) ambapo Wolper amecheza kama jike dume huku Mtunisy akiwa kama kocha wa team ya michezo huku Wolper akicheza kama captain. Filamu hiyo ni kali sana kwa mujibu wa Mtunisy mwenyewe ambaye ni mmoja wa waigizaji wa kiume wanaodaiwa kuwa na mvuto mkubwa kiasi cha kuwapa wazimu kinadada wengi.

Filamu hiyo imeandaliwa na Mtunisy kupitia kampuni yake ya Nice Entertainment na itaingia sokoni tarehe 1 mwezi ujao, Itasambazwa na Steps Entertainment Tanzania.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment