Wednesday, April 16, 2014

Odama Ajifungua Mtoto Wa Kiume.

Odama
Star mkubwa wa filamu nchini Odama Jenifer Kyaka amejifungua mtoto wa kiume Jumanne ya wiki iliyopita baada ya kuwa kimya kidogo kwa miezi kadhaa kutokana na likizo ya uzazi ambayo ilimfanya asimame kuigiza filamu kwa muda.

Habari ni kuwa Odama na mtoto wanaendelea vizuri.

Hongera Odama kwa kuitwa mama.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment