Monday, September 22, 2014

Dogo Asley Apata Mtoto, Watu Wamshangaa Kwa Umri Wake Mdogo.

Dogo Asley na mtoto huyo waliyefanana sana zikiwemo nyusi zao
Dogo Asley ana mtoto !...hayo ni maswali ambayo mashabiki wake na watu wengine  wamejiuliza baada ya mwanamuziki huyo mwenye umri mdogo unakadiriwa kuwa miaka 18 au chini yake kwa sasa kuweka picha katika mtandao wa Instagram zikimuonyesha mtoto mchanga ambaye wamefanana sana, na pia mtoto huyo kumuweka katika profile picha yake. Haijajulikana bado kama mtoto huyo ni mdogo wake au mwanae ingawa wengi wanaamini ni mwanae kwa jinsi walivyofanana na alivyoweka picha hizo zinazoonekana.

Kwa umri wake mdogo licha ya kufanya akzi za muziki wengi bado walitarajia mwanamuziki huyo kujikita pia katika suala la kupata elimu nzuri badala ya kutumbukia katika dimbwi la mapenzi katika umri mdogo

                                                                   Dogo Asley

No comments:

Post a Comment