Monday, September 22, 2014

Ni Mtifuano Mkali Kati Ya JB, Irene Uwoya, Jokate Na Richie.

Mastaa wakubwa wa filamu nchini JB Jacob Stephen, Irene Uwoya, Jokate na Richie Single Mtambalike wanatarajiwa kuwasha kivumbi sokoni kuanzia tarehe 25 mwezi huu wa September wakati wa filamu mpya ya Mikono Salama waliyocheza pamoja itakapoinia sokoni rasmi.

Filamu hii hata ukiangalia trailer yake inaonekana kuwa tofauti na filamu nyingi zilizotengenezwa toa kampuni ya Jerusalem Films inayomilikiwa na JB, Trailer yake tu inaonekana kukuhamasisha kutaka kuangalia filamu hii. Ukiachilia mbali mastaa hao muigizaji mwingine katika movie hiyo ni marehmu Adam Kuambiana ambaye pia alikuwa mmoja wa waongozaji maarufu wa filamu nchini.

hakikisha hukosi kununua nakala yajo halisi tarehe 25 September ufaidi movie hii

M-follow JB Instagram katika hii link hapa upate updates zake na filamu zake  JB Jacob Stephen



No comments:

Post a Comment